phone: +420 776 223 443
e-mail: support@londoncreative.co.uk

Tuesday 23 December 2014

Hii Ni Kwa Ajili Ya Wazazi Na Watoto Wa Jinsia Zote


Tupo na mwana dada pia ni mzazi wa mtoto mmoja wa kiume..Anaitwa zamaradi ni mtangazaji wa kipindi cha TAKE ONE toka clouds Tv ,MOVIE LEO toka clouds fm na MJASILIA MARI...





Pambaika ya clouds fm imepata nafasi ya kuongea nae na kutupa style za watoto wa jinsia zote katika upande wa mavazi katika msimu huu wa sikukuu






Azungumzia aina ya mavazi ya watoto ambayo yanatoka sana msimu huu wa sikukuu... Kuna suruali aina ya jeans na t-shirt na kwa watoto wa kike amesema kuwa wanavitu vingi kwa hiyo mzazi ni chaguo lako tu kwa mwanao utakacho taka avae siku iyo pia ana nguo za watoto wanao anzia mwaka 0 mpaka 12




Msikilize apa chini

No comments:

Post a Comment