phone: +420 776 223 443
e-mail: support@londoncreative.co.uk

Wednesday 17 December 2014

Ebu Pambaika Na Dog dog Shirt Hapa



Hii ndio style inayo tamba mjini ambayo inahusisha moja kwa moja mashati yanayo itwa Dog dog shati
Ambayo yanavaliwa na mastaa wengi ulimwenguni kwa style tofauti kama unavyoona izo picha na ulivyo sikia toka pambaika ya clouds fm





Dog dog shati huvaliwa na watu wa kila aina ila inategemea jinsi utakavyo litumia wewe



No comments:

Post a Comment