phone: +420 776 223 443
e-mail: support@londoncreative.co.uk

Sunday 25 January 2015

Ladies Handbags Na Kim Classic Ladies Wear

Kim classic ladies wear ametusanua kuhusu ma bag ya wakina mama na wakina dada ambayo yana trendy mjini na duniani kote kwa sasa... 






Friday 16 January 2015

Hii Ndio Tofauti Ya Photogenic Na Modle


Leo PAMBAIKA ya clouds fm inataka ikusanue kuhusiana na tofauti kati ya photogenic(kisura) na modle(modo/mwana mitindo)...
Photogenic(Kisura) ni kuwa na mvuto na muonekana mzuri katika picha au kuwa na ushirikiano mzuri wa muonekano katika camera nina maana sura ya mauzo haihusishi mwili wala mavazi umenipata apo……..!!! na Modle(modo/mwana mitindo) Model ni mtu alieteuliwa au kuajiliwa kwa ajili ya kufanya kazi ya kutangaza vitu kupitia mwili wake:Mafano nguo au vipodozi..Kwa maana hii itabidi mwili,sura vihusike na pamba pia....










Wednesday 14 January 2015

New Video[Cassim Mganga - Moto Moto Na Kipima Pamba


Tumepokea video mpya ya Cassim Mganga-Moto moto na PAMBAIKA inawafikishia ninyi kwa kazi moja tu...Kwa ajili ya kuipimia pamba na kumkosoa/kumsifia designer wa mavazi wa video hiyo...

Did you know this...???


Kwamba sale za shule kwa nchi za wenzetu zina heshima kubwa sana yaani ukimuona mwanafunzi amevaa sale ya shule jua iyo shule ni ya gharama sana moja wapo ya nchi hizo ni Marekani na nchi nyinginezo zilizo endelea.... Tofauti kabisa na huku kwetu shule za kawaida au zilizo nyingi ni lazima wavae sale kwa sababu ya kuzuia matabaka kwa wanafunzi wanapo kutana eneo husika....Hayo ni machache tu tulio kupa toka PAMBAIKA ya clouds fm...






TUXEDO SUIT NI MOJA YA VAZI LINALO FANYA VIZURI SANA SASA HIVI....

Hizi ndio zile Tuxedo suit ambazo unazisikia toka Pambaika ya clouds fm….Zinafanya  vizuri sana mjini sasa hivi


Zinatumika nsana hasa kwenye harusi ,ofisini na sehemu nyingine tofauti tofauti….


 

Hapa tuna sauti ya mmiliki wa duka la nguo la white pamba toka sinza makaburini akiongelea kuhusu Tuxedo suit na mahali gani hasan zinatumika