phone: +420 776 223 443
e-mail: support@londoncreative.co.uk

Monday 21 October 2013

Mtindo wa Jeans kalii kwa bei nafuu..


Unaweza kupambaika kwa aina nyingine au mtindo mwingine kabisa wa jeans.. Kwa sh 35000 tu. Weka order yako sasa.

Mashati ya Jinsi...

Mashati haya ya jeans..maarufu kama denim..yataongeza muonekano wako au style yako ya mavazi kuwa ya kisasa zaidi. Unaweza ukaweka order yako hapa au tembelea www.pambaika.com

Je unataka kupendeza kama hawa?

Hawa pia walipaika katika mtindo wa kiafrika zaidi, na hiyo ni moja ya kazi zinazifanywa na pambaika.. Unaweza kuweka order kwa mtindo wowote ule wa kiafrika na ukaupata.

We unachagaua ipi?

Size xsmall and small ,Made from cotton rich denim fabric
Classic five pocket styling
 High rise and skinny fit Made from cotton rich denim fabric
Classic five pocket styling
- High rise and skinny fit  Made from stretch denim Stretch added for comfort and fit

Classic five pocket styling
- Low rise, skinny fit @35000