phone: +420 776 223 443
e-mail: support@londoncreative.co.uk

Sunday 22 February 2015

Kanye West Azindua Nguo Zake Kupitia Company Ya Adidas


Kanye West azindua nguo zake Kupitia Company Ya Adidas ambayo mwanzo walianza na viatu walivyo viita Yeezy boot 750 uka nchini Marekani siku chache zilizopita 





Saturday 21 February 2015

Huyu Ndio Mshindi Wetu Wa Pili



Mosses Khalfani AKA Mophey ndio mshindi wa shopping voucher ya kiasi cha laki moja ya Kitanzania toka Mapenzi Classic Wear kinondoni alichukuwa zawadi yake siku ya jana kwa kufanya shopping ya kiasi cha 100,000 tsh dukani hapo 




Thursday 19 February 2015

Shukrani sana kwa White Pamba Fashion toka sinza


Huyu ndio mshindi wa shopping voucher ya kiasi cha 100,000 ya Kitanzania toka White Pamba Fashion sinza anaitwa Humphrey Solomoni toka mikocheni B






Monday 16 February 2015

Neymar na deal zake za fashion 2015..




Mastaa wengi wa soka kama Cristian Ronaldo, David Beckham wamekuwa wakipata dili la kufanya shughuli za fashion, hii imewasadia pia kukuza uzito wa mkwanja ambao wanaukusanya kwenye kazi zao ukiachilia mbali soka.

Wanamichezo wengi huingia upande huu, tumeona ya Usain Bolt na deal zake za PUMA na wengineo, sasa ni time nyingine nakusogezea hii ya staa wa soka toka Brazil, Neymar.Mshambuliaji huyo wa Club ya Barcelona ambaye ni raia wa Brazil,

Neymar Da Silva Santos naye aliingia kwenye list ya mastaa wengine kwenye hii biashara ya matangazo ya fashion na POLICE Lifestyle, alikuwa Balozi mpya wa bidhaa za Kampuni hiyo 2014, hapa kuna pichaz za Neymaar akiwa amevaa miwani mipya inayotangazwa na kampuni hiyo





Diamond Na Zari Walivyo Enjoy Weekend Y a Valentine Zanzibar




Hongera Robby One Mmiliki Wa Robyy One Fashion Kwa Hili


Mmiliki wa duka la  Robby One Fashion kinondoni na sinza aja na viatu vyenye jina la kampuni yake ya Robby One kama Kanye West na adidas Hii inaonesha  jinsi gani jamaa yupo serious juu ya biashara yake katika ushindani wa soko la fashion hapa nchini na nje ya nnchi






                                                                    Ebu msikilize hapa