SASA BASI NKASEMA NGOJA NIFANYE RESEARCH WATU AMBAVYO HUWA WANAVAA
WAKISAFIRI.WENGI NKAONA HUWA WANAVAA SKINNY JEANS NA RABA AU FLATS. SIMPLE
AND STYLISH NAAKAYA HAPA ANAONEKANA KABISA KAMA SIO ALIKUWA ANAELEKEA
KWENYE BARIDI BASI KATOKA KWENYE KIPUPWE ILA NIMEPENDA NI VERY SIMPLE NA
HIZO SNEAKERS ZIMEPENDEZESHA MUONEKANO.
VITU KAMA KOFIA AU SKAF NI VITUPIO TU VYA KUNASHI MUONEKANO WAKO USIWE BORING.KAMA WAONDOKA ASUBUHI SANA NA KUNA KIBARIDI BASI A STYLISH BLAZER INAKUFAA SANA AU KAMA UNAPOENDA UKIFKA NI BARIDI . PIA MAX SKIRT AU MAX DRESS WAWEZA VAA AMA HUTAKI KUBANWA NA SURUALI AU LEGGINGS
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment