HADI BEYONCE MAMA AKE BLUE IVY KATINGA KITENGE AFRICANPRINT WE
USITINGE WE NANI…..YE KASHAVAA DESIGNER MNOOO, KASHAVAA NGUO ZA BEI ZA
HAJA NA LEO KATINGA KITENGE WEWEEE JE……BIBI KAMATA MSHONO MAFUNDI NDO
HAOOO …pendezaa
QUEEN
BEY NDANI YA PRINT ON PRINTS KITU CHA KITENGE YA JUU NI KAMA BLAZER
NAONA AKAMUA AFUNGE NA MKANDA KUFANYA IWE KAMA BLAUZI,KOFIA NAYO NI
KITENGE .
MUONEKANO WA BLAUZI YA KITENGE KUTOKA KWA MODEL
NA HII NDO SKIRT AMBAYO HAPA KWA MODEL MPASUO HAUNEKANI VIZURI.
HUU MSHONO NI WA JUMPSUIT MWAITA KANYELA MUMO WENGINE.
MUONEKANO MZURI WA JUMPSUIT
No comments:
Post a Comment