Mmiliki wa duka la Robby One Fashion kinondoni na sinza aja na viatu vyenye jina la kampuni yake ya Robby One kama Kanye West na adidas Hii inaonesha jinsi gani jamaa yupo serious juu ya biashara yake katika ushindani wa soko la fashion hapa nchini na nje ya nnchi
Ebu msikilize hapa
No comments:
Post a Comment