SASA BASI NKASEMA NGOJA NIFANYE RESEARCH WATU AMBAVYO HUWA WANAVAA
WAKISAFIRI.WENGI NKAONA HUWA WANAVAA SKINNY JEANS NA RABA AU FLATS. SIMPLE
AND STYLISH NAAKAYA HAPA ANAONEKANA KABISA KAMA SIO ALIKUWA ANAELEKEA
KWENYE BARIDI BASI KATOKA KWENYE KIPUPWE ILA NIMEPENDA NI VERY SIMPLE NA
HIZO SNEAKERS ZIMEPENDEZESHA MUONEKANO.
Thursday, 31 July 2014
Monday, 28 July 2014
Friday, 25 July 2014
TARTAN AU PLAID AU KIBONGO STYLE YA CHRISS BROWN BADO NI HABARI YA MJINI
VIJASTI
BADO NI HABARI YA MUJINI HASWAA KIKIVALITWA NA SHATI HILI
Wednesday, 23 July 2014
Tuesday, 22 July 2014
Monday, 21 July 2014
POCHI KALI LV CAPUCINES YA YENYESIFA ZAKUMWAGA ,SOMA HAPA
EEE MIKANDA YA NGOZI YA NYOKA NDO IMEGEUKIWA KWA SASA NA MADESIGNER WA POCHI DUNIANI, KAMA MUONAVYO HATA ILE POCHI PENDWA YA LV CAPUCINES NAYO IMETOLEWA YENYE MKANDA WA NYOKA KAMA KAWA BEI ZA UKWELI ZA LV NI $4400 KWA NDOGO BB $5600 KWA ZA KATI MM NA $6050 KWA ZILE KUBWA GB.
Thursday, 17 July 2014
BARBIE & KENS TRADITIONAL WEDDING
KAMA WEWE NI MFUATILIAJI MZURI AU USHAWAHI ONA MOVIES ZA
ANIMATION BASI HUYU MDOLI BARBIE SI MGENI,KWA AMBAO HAMJUI NI MDOLI
AMABAE ANATUMIWA SANA KWEMYE MAMBO YA FASHION NA ANAHISTORIA KWAKUWA
ALIANZIA KUTUMIWA MIAKA YA 1959.
SO NIGERIA WAMEWALETA HAWA WADOLI NA KUPIGA PICHA ZA HARUSI
ZINAZOFATA MTIRIRIKO WA HARUSI ZA KIMILA ZA NIGERIA NA SWAGA ZOTE
KUANZIA KUANZIA MAVAZI,DECOR,GELE,LACE ,VITENGE.BARBIE AKIGLAMMED HAPA GELE NDO LAFUNGWA.
ZE GROOM HII NI ISHARA YA HESHIMA ZE GROOM NA MARAFIKI ZAKE WANALALA CHINI MBELE YA WAZAZI WA BI HARUSI
Subscribe to:
Posts (Atom)