phone: +420 776 223 443
e-mail: support@londoncreative.co.uk

Tuesday, 30 December 2014

Hizi Ndizo Jeans Ambazo Zina Trend Sana Mjini


Zina itwa Chambuka jeans......!!! Upatikanaji wake ni mgumu kidogo ila ukibahatika tu....!!! Ni jeans ambazo zinavaliwa na jinsia zote na liko zote 

Na hutumika sana mida ya usiku sababu zimekatwa baadhi ya maeneo yake kama kwenye mapaja na magotini hata nyuma ya miguu pia hasa hutumiwa na vijana wa kisasa 













Pia utapata nafasi ya kumsikiliza jamaa toka mipaka ya mbeya akizungumzia mchongo uwo

Saturday, 27 December 2014

Kipima Pamba Cha Pambaika Toka Clouds Fm Leo Kipo Na Video Ya 2nda Man


Leo tumedondokea kwa 2nda man na video yake ya MAPENZI YALEYALE ebu icheck af tupe max hasa kwenye pamba kama katisha au laah...!!!

Wednesday, 24 December 2014

Mzigo Mwingine Huu Apa Wakuuhukumu Katika Pamba na KIpima Pamba


Ebu tupimie pamba katika video hii ya Bracket ft Diamond na Tiwa savege toka nigeria afu tuambie nani katisha kati ya wasanii wote walio shiliki umo






Video yenyewe ndio hii

Mtoko Mwingine Au Style Nyingine Hii Apa...



Mtoko wa x-mass na mwaka mpya kwa lika zote huu apa hasa kwa kina baba na vijana 





Msikilize mmiliki wa duka la nguo la white pambaika fashion apa

Tuesday, 23 December 2014

Hii Ni Kwa Ajili Ya Wazazi Na Watoto Wa Jinsia Zote


Tupo na mwana dada pia ni mzazi wa mtoto mmoja wa kiume..Anaitwa zamaradi ni mtangazaji wa kipindi cha TAKE ONE toka clouds Tv ,MOVIE LEO toka clouds fm na MJASILIA MARI...





Pambaika ya clouds fm imepata nafasi ya kuongea nae na kutupa style za watoto wa jinsia zote katika upande wa mavazi katika msimu huu wa sikukuu






Azungumzia aina ya mavazi ya watoto ambayo yanatoka sana msimu huu wa sikukuu... Kuna suruali aina ya jeans na t-shirt na kwa watoto wa kike amesema kuwa wanavitu vingi kwa hiyo mzazi ni chaguo lako tu kwa mwanao utakacho taka avae siku iyo pia ana nguo za watoto wanao anzia mwaka 0 mpaka 12




Msikilize apa chini

Monday, 22 December 2014

Msimu Huu Wa sikukuu Una Vaaje...?


Msimu huu wa sikukuu watu wana pambaika vile wao wanavyo penda ila apa nimepigsa story na jamaa toka yakuza mob anaitwa Gilla ze boss 
Yeye huwa anapendelea kuvaa Air Jordan,track suit muda mwingine suit ina tegemea atakavyo amka cku iyo ila hawezi akakosa vitu alivyo vitaja apo juu




na hii ndio sauti yake