phone: +420 776 223 443
e-mail: support@londoncreative.co.uk

Friday, 19 December 2014

Pambaika Ya Clouds Fm Inahitaji comments Zako Kupitia Video Hii



Alikiba ametuletea kile tulicho kuwa tunamdai.... Sasa pambaika ya clouds fm inahitaji utimizi ile kazi ilio kupa jana......

Nayo ni kuiangalia hii video kwa umakini alafu tupimie Pamba na KIPIMA PAMBA cha                     PAMBAIKA toka clouds fm... Je ameenda na fashion ambayo wasanii wengi wanaenda nayo sasa ivi katika ulimwengu wa video Africa na duniani kote

If yes tupa comment yako apo chini... If No pia tupa comments zako na ushauri nini afanye ili awe
katika ushindani na tutamfikishia



Dog dog Shirt Style Is Taking Over Now






Thursday, 18 December 2014

Tumia Sekunde 30 Kuangalia Kionjo Hiki Cha Video Mpya Ya Alli Kiba

Sikiliza Jinsi Ya Ku Pambaika Na Dod god Style Kupitia Pambaika Ya Clouds Fm



After School bush pia ilipendeza sana coz dog dog style ilichukuwa nafasi kubwa sana siku iyo..Boys and girls walitupia na hakuna alie chukiza......





Hii ndio nafasi yako ya kusikiliza Pambaika apa chini


Wednesday, 17 December 2014

Ebu Pambaika Na Dog dog Shirt Hapa



Hii ndio style inayo tamba mjini ambayo inahusisha moja kwa moja mashati yanayo itwa Dog dog shati
Ambayo yanavaliwa na mastaa wengi ulimwenguni kwa style tofauti kama unavyoona izo picha na ulivyo sikia toka pambaika ya clouds fm





Dog dog shati huvaliwa na watu wa kila aina ila inategemea jinsi utakavyo litumia wewe