Kanye West azindua nguo zake Kupitia Company Ya Adidas ambayo mwanzo walianza na viatu walivyo viita Yeezy boot 750 uka nchini Marekani siku chache zilizopita
Sunday, 22 February 2015
Saturday, 21 February 2015
Huyu Ndio Mshindi Wetu Wa Pili
Mosses Khalfani AKA Mophey ndio mshindi wa shopping voucher ya kiasi cha laki moja ya Kitanzania toka Mapenzi Classic Wear kinondoni alichukuwa zawadi yake siku ya jana kwa kufanya shopping ya kiasi cha 100,000 tsh dukani hapo
Thursday, 19 February 2015
Shukrani sana kwa White Pamba Fashion toka sinza
Huyu ndio mshindi wa shopping voucher ya kiasi cha 100,000 ya Kitanzania toka White Pamba Fashion sinza anaitwa Humphrey Solomoni toka mikocheni B
Monday, 16 February 2015
Neymar na deal zake za fashion 2015..
Mastaa wengi wa soka kama Cristian Ronaldo, David Beckham
wamekuwa wakipata dili la kufanya shughuli za fashion, hii imewasadia pia
kukuza uzito wa mkwanja ambao wanaukusanya kwenye kazi zao ukiachilia mbali
soka.
Wanamichezo wengi huingia upande huu, tumeona ya Usain Bolt na deal zake za PUMA na wengineo, sasa ni time nyingine nakusogezea hii ya staa wa soka toka Brazil, Neymar.Mshambuliaji huyo wa Club ya Barcelona ambaye ni raia wa Brazil,
Neymar
Da Silva Santos naye aliingia kwenye list ya mastaa wengine kwenye hii biashara
ya matangazo ya fashion na POLICE Lifestyle, alikuwa Balozi mpya wa bidhaa za
Kampuni hiyo 2014, hapa kuna pichaz za Neymaar akiwa amevaa miwani mipya inayotangazwa na kampuni hiyo
Hongera Robby One Mmiliki Wa Robyy One Fashion Kwa Hili
Ebu msikilize hapa
Subscribe to:
Posts (Atom)