Kim classic ladies wear ametusanua kuhusu ma bag ya wakina mama na wakina dada ambayo yana trendy mjini na duniani kote kwa sasa...
Sunday, 25 January 2015
Friday, 16 January 2015
Hii Ndio Tofauti Ya Photogenic Na Modle
Leo PAMBAIKA ya clouds fm inataka
ikusanue kuhusiana na tofauti kati ya photogenic(kisura) na modle(modo/mwana
mitindo)...
Photogenic(Kisura) ni kuwa na mvuto na muonekana mzuri katika picha au kuwa na ushirikiano mzuri wa muonekano katika camera nina maana sura ya mauzo haihusishi mwili wala mavazi umenipata apo……..!!! na Modle(modo/mwana mitindo) Model ni mtu alieteuliwa au kuajiliwa kwa ajili ya kufanya kazi ya kutangaza vitu kupitia mwili wake:Mafano nguo au vipodozi..Kwa maana hii itabidi mwili,sura vihusike na pamba pia....

Wednesday, 14 January 2015
New Video[Cassim Mganga - Moto Moto Na Kipima Pamba
Tumepokea video mpya ya Cassim
Mganga-Moto moto na PAMBAIKA inawafikishia ninyi kwa kazi moja tu...Kwa ajili
ya kuipimia pamba na kumkosoa/kumsifia designer wa mavazi wa video hiyo...
Did you know this...???
Kwamba sale za shule kwa nchi za
wenzetu zina heshima kubwa sana yaani ukimuona mwanafunzi amevaa sale ya shule
jua iyo shule ni ya gharama sana moja wapo ya nchi hizo ni Marekani na nchi
nyinginezo zilizo endelea.... Tofauti kabisa
na huku kwetu shule za kawaida au zilizo nyingi ni lazima wavae sale kwa sababu
ya kuzuia matabaka kwa wanafunzi wanapo kutana eneo husika....Hayo ni machache
tu tulio kupa toka PAMBAIKA ya clouds fm...
TUXEDO SUIT NI MOJA YA VAZI LINALO FANYA VIZURI SANA SASA HIVI....
Hizi ndio zile Tuxedo suit ambazo unazisikia toka Pambaika
ya clouds fm….Zinafanya vizuri sana
mjini sasa hivi
Zinatumika
nsana hasa kwenye harusi ,ofisini na sehemu nyingine tofauti tofauti….
Hapa tuna sauti ya mmiliki wa duka la nguo la white pamba
toka sinza makaburini akiongelea kuhusu Tuxedo suit na mahali gani hasan
zinatumika
Subscribe to:
Posts (Atom)